UKURASA WA 776; Weka Mkazo Kwenye Vitu Vitakavyokulipa…
Watu wengi wamekuwa wakijidanganya sana mwanzoni mwa biashara. Wamekuwa wakidhani kuna vitu vingi wanahitaji kufanya ili biashara zao ziweze kuanza vizuri. Hivyo watu huhangaika na vitu vidogo vidogo ambavyo ukiviangalia kwa undani, havina uhusiano wa moja kwa moja na mteja kulipa fedha. Unapoanza biashara, mara nyingi unakuwa peke yako, na (more…)
