💥 #TAFAKARI YA LEO; ACTION VS REACTION…
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine nzuri sana ya kwenda kuweka juhudi zaidi kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ndiyo utatufikisha mbali zaidi kwa kutuwezesha kufanya makubwa zaidi. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu ACTION na REACTION. (more…)
