UKURASA WA 534; Kupata Na Kukosa…
Asili ya maisha ni kwamba kuna kupata na kukosa, hii ni kwa kila mtu licha ya kuwa yupo wapi au ana wadhifa gani. Hakuna mtu ambaye anapata kile anachokitaka kwa wakati anaotaka na kwa kiwango anachotaka mara zote. Unaweza kupanga vizuri na kuweka juhudi lakini usipate kabisa kile ambacho unakitaka. (more…)
