UKURASA WA 434; Chanzo Kikuu Cha Umasikini Au Utajiri.
Umasikini au utajiri siyo vitu ambavyo vinatokea kama ajali, bali ni vitu ambavyo vinaandaliwa mapema na vina chanzo kimoja kikuu. Kutoka kwenye chanzo hiki ndipo watu wanakuwa matajiri na wengine wanakuwa masikini. Chanzo hiki ni jinsi mtu anavyoyaweka na kuendesha maisha yake. Kuna namna ambayo inaleta utajiri na kuna namna (more…)
