BARUA YA WAZI KWA MARAFIKI ZANGU WAANDISHI…
Kwako rafiki yangu ambaye ni mwandishi kupitia mitandao hii ya kijamii. Kwanza nikupe pongezi kubwa, kwa sababu kuandika, hasa kama unafanya mara kwa mara au kila siku, siyo kitu rahisi. Japo kuna ambao kwa nje wanaona ni rahisi sana. Lakini sio kitu rahisi ila unafanya kwa sababu unapenda wengine wanufaike (more…)
