Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 348; Vitu Vidogo Vinavyoweza Kuharibu Siku Yako….

By | December 14, 2015

Mara nyingi huwa tunaruhusu vitu vidogo vidogo sana kuharibu siku zetu. Na sio vitu vile vinaharibu, bali sisi wenyewe tunaharibu siku zetu kutokana na vitu hivyo. Na vitu hivi vidogo vinatokana na mjumuiko wetu na watu wengine. Labda umempigia mtu simu hakupokea, na hata baadae hakukupigia tena. Au umemtumia ujumbe (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hitaji Muhimu La Kuwa Na Maisha Bora.

By | December 13, 2015

Kama kuna kitu kimoja ambacho kila mmoja wetu anakipigania, basi ni kuwa na maisha bora. Ndio tunahitaji sana kuwa na maisha bora, tunapenda kuona maisha yetu yana maana kwetu na kwa wengine pia. Na tunapenda kuona tuna mchango chanya kwa wengine kupitia maisha yetu. Pamoja na hitaji hili kubwa la (more…)

UKURASA WA 347; Usikubali Hili Moja Liingie…

By | December 13, 2015

Hakuna mtu ambaye anaamka asubuhi na mara moja tu akawa na mawazo ya kukata tamaa, na kuona mbele hakuwezekani tena. Hiki sio kitu kinachokuja ghafla kama ajali, bali mtu anakitengeneza mwenyewe. Na huwa kinaanza na wazo moja hasi, na kwa sababu mawazo hasi yanavutia mawazo mengine hasi, basi unakuja msururu (more…)

UCHAMBUZI W AKITABU; SPEAK LIKE CEO (Ongea Kama Mkurugenzi).

By | December 12, 2015

Kitabu speak like ceo kimeandikwa na mwandishi Suzanne Bates, hiki ni kitabu ambacho kinatoa mbinu za mawasiliano bora kwa viongozi. Wote tunajua ya kwamba uongozi ni mawasiliano, na mafanikio yoyote ya mtu, yanatokana na jinsi gani anavyoweza kuwasiliana na kushirikiana na watu wengine. Kama unataka kuwa kiongozi mkubwa na mwenye (more…)

UKURASA WA 346; Matokeo Na Usichokijua…

By | December 12, 2015

Unajua ili ufanikiwe ni lazima uweze kufanya mambo makubwa, ambayo hujawahi kuyafanya kwenye maisha yako. kwa sababu ukiendelea kufanya kile ambacho unafanya, utaendelea kupata matokeo ambayo unayapata sasa. Lakini unapofanya mambo haya makubwa na mageni kwako, mara nyingi unakuwa huna uhakika na matokeo unayotaka kupata. Hujui kama kweli utapata kile (more…)

Pamoja Na mengine yote turudi kwenye jambo hili la msingi sana.

By | December 10, 2015

Habari za wakati huu rafiki? Karibu tena kwenye mazungumzo yetu haya muhimu sana kati yangu mimi na wewe rafiki yangu. Na kupitia mazungumzo haya ya leo naomba nikukumbushe kitu kimoja muhimu sana ambacho tumekuwa tunakiongea mara kwa mara. Pamoja na mipango mizuri ambayo unaweka kila siku. Pamoja na mbinu mpya (more…)

UKURASA WA 344; Faida Ya Kuwa Mpweke Kwa Muda…..

By | December 10, 2015

Maisha yetu sisi wanadamu ni kitu kigumu sana kukielewa vizuri. Kwa kiingereza unaweza kusema ni complex. Na ugumu huu wa kuyaelewa maisha ndio unayafanya kuwa bora zaidi. Kila mmoja wetu ana upweke fulani ndani yake, na kila anapokuwa kwenye upweje huu, huzuni kubwa huwa inamwingia. Haijalishi maisha yako ni bora (more…)

UKURASA WA 343; Jinsi Ya Jenga Himaya.

By | December 9, 2015

Ili kufikia mafanikio makuba kwenye maisha yako, kupitia kazi au biashara unayofanya, kitu kimoja muhimu sana unahitaji, nacho ni kujenga himaya. Ni lazima ujenge himaya kubwa ya watu ambao wanategemea sana kile ambacho unakifanya. Watu ambao wanasubiri kwa hamu kupata huduma au bidhaa yako. watu ambao wanajali kweli kwenye kile (more…)

BIASHARA LEO; Mbinu Za Kumrudisha Mteja Anayetaka Kukukimbia.

By | December 8, 2015

Kwenye makala ya jana ya #BIASHARA_LEO tuliona kauli moja ambayo ukiisikia kwa mteja maana yake mteja huyo unampoteza. Kama hukusoma makala ile bonyeza maandishi haya kuisoma kwanza kabla hujaendelea. Kwenye makala hiyo tumekubaliana usikubali kupokea kauli hii ya mteja. Sasa leo tutaangalia ufanye nini pale mteja anapokupa kauli kwamba nikiwa (more…)