UKURASA WA 288; Kwa Nini Nahubiri Mafanikio Na Sio Fedha.
Nafikiri kama umekuwa unanisoma kwa muda mrefu utakuwa unajiua kabisa ya kwamba mimi ni mwinjilisti mzuri sana wa mafanikio. Yaani kila ninachozungumza, kila ninachoandika ni kuhusu mafanikio, kuhusu kuwa bora leo zaidi ya ulivyokuwa jana, kuhusu kwenda hatua ya ziada, kuhusu kutoa zaidi ya ulivyotegemewa kutoa. Huu ndio wimbo ambao (more…)
