UKURASA WA 244; Uhuru Wako Unapimika Kwa Kitu Hiki Kimoja.
Ni kiasi gani una uhuru? Kama ulikuwa hujajua basi uhuru wako unaweza kupimika. Unaweza kuupima uhuru wako kwa idadi ya siri ulizonazo, kwa vitu ambavyo unajaribu kuficha. Kadiri una siri nyingi ambazo hutaki watu wajue, ndivyo uhuru wako unavyozidi kuwa mdogo. Kadiri ambavyo unajaribu kuficha vitu vingi, ndivyo ambavyo unakosa (more…)
