UKURASA WA 251; Ni Wewe…
Ni rahisi sana kulaumu wengine pale mambo yanapokwenda vibaya. Ni rahisi sana kulalamikia chochote unachoweza pale unaposhindwa kufikia ulichotaka kufikia. Lakini mara nyingi na kwa sehemu kubwa sana ni wewe uliyesababisha kufika hapo ulipofika sasa. Ni wewe uliyeamua kula vyakula vya hovyo na sasa afya yako inasumbua. Ni wewe uliyekubali (more…)
