UKURASA WA 214; Kwa Nini Hutawafikia Wale Unaowaangalia.
Sababu ni moja, wivu. Watu wanasema kuna wivu wa maendeleo na wivu usio wa maendeleo. Sijui tofauti zake sana, ila ninachojua wivu ni wivu. Wivu ni nini basi? Kwa ninavyoelewa mimi mwenyewe wivu ni ile hali ambapo unamwona mtu mwingine ana kitu ambacho huna, halafu ukajisikia vibaya kwa nini na (more…)
