UKURASA WA 218; Aina Nyingine Za Uvivu.
Kwa kawaida huwa tunachukulia uvivu kwa vile vitu ambavyo ni rahisi kuonekana. Mtu ambaye hamalizi majukumu yake kwa wakati ni mvivu. Mtu ambaye haonekani kwenye kazi yake kwa muda wa kazi huyo ni mvivu. Na pia mtu ambaye anakwepa majukumu yake ya kazi huyo ni mvivu. Kwa uelewa huu wa (more…)
