Maisha Ni Majaribio…
(more…)
(more…)
Kazi au shughuli yoyote unayofanya ni sawa na bidhaa iliyopo sokoni, kama thamani yake kwa sasa haikuridhishi, ongeza uhitaji wake na thamani yake itakua. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba kazi wanayofanya inawapa kipato kidogo. Au biashara wanayofanya haiwapatii faida ya kutosha. Watu hawa huishia kulalamika tu bila ya kuchukua hatua (more…)
Kwanza niwashukuru sana wale wote ambao wameshajiunga na semina ya MAFANIKIO KATIKA BIASHARA mwaka 2015. Umefanya maamuzi sahihi sana kujiunga na semina hii na utajifunza mambo mazuri ambayo kama utayatumia utaboresha zaidi biashara yako na kufikia mafanikio makubwa. Nimepokea ujumbe kutoka kwa watu wengi jana kusumbuliwa na mtandao hivyo kushindwa (more…)
(more…)
Moja ya vitu vinavyoweza kutuonesha kama kitu kinawezekana au hakiwezekani ni utafiti. Ndio maana kabla ya mtu kuingia kwenye biashara anahitaji kufanya utafiti ili kujua kama kuna wateja ambao wanahitaji huduma au bidhaa anazotoa. Hata kwenye sayansi, kabla kitu hakijapitishwa lazima ufanyike utafiti. Kabla dawa yoyote haijapitishwa kwa matumizi ya (more…)
Kwanza niwashukuru sana wale wote ambao wameshajiunga na semina ya MAFANIKIO KATIKA BIASHARA mwaka 2015. Umefanya maamuzi sahihi sana kujiunga na semina hii na utajifunza mambo mazuri ambayo kama utayatumia utaboresha zaidi biashara yako na kufikia mafanikio makubwa. Nimepokea ujumbe kutoka kwa watu wengi jana kusumbuliwa na mtandao hivyo kushindwa (more…)
Leo ni siku ya mwisho ya kujiunga na SEMINA YA MAFANIKIO KUPITIA BIASHARA. Kwa maelezo zaidi bonyeza HAPA. Kujifunza kila siku ndio hitaji la chini kabisa ili kuweza kufikia mafanikio kwenye maisha. Na kwenye biashara hii ni muhimu zaidi kwa sababu mabadiliko makubwa yanatokea wkenye biashara kila siku. Kuna mbinu (more…)
(more…)
Leo ni siku ya mwisho ya kujiunga na SEMINA YA MAFANIKIO KUPITIA BIASHARA. Kwa maelezo zaidi bonyeza HAPA. Kwa kiasi kikubwa sana umepoteza uhuru wako kwenye maisha. Kumbuka kipindi ulipokuwa mtoto ni mambo gani uliyokuwa unafikiria au kupanga? Ni ndoto zipi kubwa ulizokuwa nazo ambazo hukuona haya kuzisema mbele ya (more…)
Sote tunajia kwamba biashara zina changamoto nyingi sana. Na sehemu kubwa ya changamoto hizi huwa tunazitengeneza sisi wenyewe kwa kufanya au kutokufanya mambo fulani. Na kila changamoto tunayokutana nayo kwenye biashara tunaweza kuitatua kama tukijua njia sahihi za kuikabli changamoto husika. Kupitia kipengele hiki cha BIASHARA LEO hapa kwenye KISIMA (more…)