1449; Mbinu Zinapita Lakini Misingi Itadumu…
Kwa chochote unachotaka kwenye maisha yako, zipo mbinu za kukufikisha pale haraka. Zipo mbinu kwenye kila eneo la maisha yetu, kuanzia kazi, afya, biashara, fedha, mahusiano. Mbinu ni vile vitu ambavyo ukivifanya unapata matokeo mazuri ndani ya muda mfupi. Lakini mbinu hizi huwa na changamoto moja kubwa, huwa hazidumu. Mbinu (more…)
