1444; Kuwa Pale Mteja Alipo, Na Kumtangulia Anakokwenda…
Moja ya sifa ya ziada unayopaswa kuwa nayo ili kufanikiwa kwenye biashara ni kuwa mtabiri. Unapaswa kuweza kutabiri yale yanayokwenda kutokea kwenye biashara yako na wateja wako. Na siyo tu kutabiri kwa kujifurahisha, bali kwa kuwa na maandalizi ambayo yataendana na mabadiliko yanayokwenda kutoka kwenye biashara yako na kwa wateja (more…)
