UKURASA WA 336; Sababu Namba Moja Kwa Nini Usiingie Kwenye Biashara….
Sipendi kukuambia nini usifanye, kwa sababu ni hasi. Napenda kukuambia ni nini ufanye, ili iwe rahisi kwako kufuata vizuri. Lakini kuba wakati ambapo msisitizo unahitajika zaidi ili kuhakikisha kwamba tunakwenda sawa. Yaani tunaelewana vizuri na unafanya maamuzi yako ukiwa unajua vizuri ni kipi unakwenda kupata. Kuna sababu nyingi sana za (more…)
