UKURASA WA 217; Kushindwa Hakutokei Mara Moja Kama Ajali.
Mpaka sasa unajua kwamba mafanikio hayatokei mara moja kama ajali. Yaani sio kwamba siku moja utaamka na ukute mafanikio hayo yamekuja mara moja. Bali maisha unayoishi kila siku ndio yanayotengeneza mafanikio yako. Mafanikio ni maamuzi madogo madogo unayofanya kila siku. Sasa kushindwa nako ni hivyo hivyo, hutaamka siku moja na (more…)
