Kama Sio Wewe Nani? Kama Sio Sasa Lini?

By | January 21, 2015

Kama sio wewe utakayebadili maisha yako unafikiri ni nani atakayefanya hivyo? Kama sio sasa utabadili maisha yako umafikiri ni lini utafanya hivyo? Usijidanganye kwamba kuna mtu atakayekuja kukutoa hapo ulipo, ni lazima nia hii itoke ndani yako. Usijidanganye kwamba utabadili maisha yako kesho, kesho haijawahi kufika. NI WEWE, NI SASA, (more…)

Tabia Kumi Za Kufanya Kila Siku Ili Kuufanya Mwaka 2015 Kuwa Mwaka Wa Mafanikio Makubwa Sana Kwako.

By | January 21, 2015

Mwaka 2015 bado ni mchanga kabisa, na hivyo hata kama unajiona umechelewa bado una nafasi kubwa ya kufanya mabadiliko kwenye maisha yako katika mwaka huu wa kipekee. Hatua ya kwanza kabisa ambayo kwa mtu makini kama wewe(wasomaji wote wa AMKA MTANZANIA na KISIMA CHA MAARIFA ni watu makini) utakuwa umeshaifanya (more…)

UKURASA WA 21; Weka Vipaumbele Kwenye Maisha Yako.

By | January 21, 2015

Kuna mambo mengi sana ambayo unatamani kuyafanya kwenye maisha yako, ila kwa bahati mbaya sana huwezi kuyafanya yote. Huwezi kufanya mambo yote unayotamani kufanya kwa sababu kuu mbili; 1. Huna muda wa kuweza kuyafanya yote hayo, una masaa 24 tu kwa siku na bado una malengo ya kuyafanyia kazi. 2. (more…)

NENO LA LEO; Mambo Yanapokuwa Magumu Usiache Kitu Hiki Muhimu.

By | January 21, 2015

”When it is obvious that the goals cannot be reached, don’t adjust the goals, adjust the action steps.” Pale unapoona wazi kwamba huwezi kufikia malengo yako, usibadili malengo yako bali badili mipangilio yako. Lengo lako sio kitu cha kubadili kwa sababu umekutana na kikwazo, angalia ni jinsi gani unaweza kuboresha (more…)

Kauli KUMI Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Martin Luther King

By | January 20, 2015

Martin Luther King Jr alikuwa mpigania haki za watu weusi nchini marekani. Huyu ni mmoja wa watu ambao walikufa wakipigania usawa baina ya binadamu wote. Kazi yake kubwa liyoifanya imeacha alama kubwa na leo tunaishi kwenye dunia ambayo ubaguzi wa rangi sio tatizo kubwa tena. Hapa nimekukusanyia kauli Kumi za (more…)

Kuna Makundi Matatu Ya Watu; Je Wewe Upo Kwenye Kundi Lipi Kati Ya Haya? Fungua Kujua.

By | January 20, 2015

Duniani kuna makundi matatu ya watu. Na watu wote duniani tunaingia kwenye moja wapo ya makundi haya. Kundi ulilopo linaweza kuw akiashiria kama utafikia mafanikio au la. Na habari njema ni kwamba unaweza kubadilisha na kwenda kwenye kundi jingine ambalo litakufikisha kwenye mafanikio unayotaka. SOMA; Wajasiriamali Wenye Mafanikio Hufanya Mambo (more…)

Uhusiano Kati Ya Mafanikio Na Tabia Ya Kuahirisha Mambo.

By | January 20, 2015

Katika kipengele hiki cha tabia za mafanikio tunaendelea kujifunza jinsi ya kujijengea tabia ya kutokuahirisha mambo. Kama ambavyo tumekuwa tukiona awali, tabia ya kuahirisha mambo imekufanya mpaka sasa umeshindwa kufanya mambo makubwa sana kwenye maisha yako. Leo tutaangalia uhusiano kati ya mafanikio na tabia ya kuahirisha mambo. Uhusiano kati ya (more…)

UKURASA WA 20; Geuza Changamoto Kuwa Fursa.

By | January 20, 2015

Changamoto au vikwazo unavyokutana navyo kwenye maisha vinaweza kukukatisha tamaa na vile vile vinaweza kuwa fursa nzuri ya wewe kufikia mafanikio. Hakuna kitu chochote kinachotokea kwenye maisha yako ambaho huwezi kukigeuza kuwa fursa nzuri ya wewe kupata mafanikio zaidi. SOMA; #HADITHI_FUNZO; Kikwazo Kinavyoweza Kugeuka Kuwa Fursa. Katika kila tatizo unalipata, (more…)

NENO LA LEO; Mafanikio Sio Mwisho, Kushindwa Sio Kiyama…

By | January 20, 2015

“Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.” Winston Churchill Mafanikio sio mwisho, kushindwa sio kiyama; ni ujasiri wa kuendelea ndio unaohitajika. Usifikiri ukifikia mafanikio ndio mwisho wa kila kitu, mambo bado yanaendelea sana. Kushindwa sio mwisho wa dunia, maisha bado yanaendelea. (more…)