NENO LA LEO; Kisasi Bora
The best revenge is massive success. –Frank Sinatra Kisasi bora ni mafanikio makubwa. Kama mtu amekufanyia jambo baya na unataka kulipa kisasi, kisasi bora kulipa ni kuhakikisha unafanikiwa sana. Nakutakia siku njema. (more…)
