FEDHA; Ufanye Nini Na Fedha Zako Baada ya Kuweka Akiba?

By | August 5, 2014

Mpaka sasa tumeshajifunza mengi kwenye tabia za mafanikio na mwezi wa saba na wa nane tunaendelea kujadili jinsi ya kujenga tabia nzuri kwenye matumizi na uhufadhi wa fedha. Kitu kikubwa ambacho mpaka sasa umeshakifanya kama unafuatilia mafunzo haya kwa ukaribu ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuanza kujijengea tabia (more…)

Utaratibu Mpya Wa Kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA(MUHIMU SANA KUSOMA)

By | August 1, 2014

Kutokana na idadi kubwa ya watu na pia kutokana na changamoto nyingi zilizotokana na mfumo wa awali wa kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA sasa yamefanyika marekebisho ambayo yataboresha sana mfumo wa uendeshaji wa KISIMA CHA MAARIFA. Mabadiliko haya yataathiri wanachama wote waliojiunga mwanzo na wanaoendelea kujiunga. Hivyo nawaomba sana wale (more…)

FEDHA; Tabia Kumi Mbaya Kuhusu Fedha Zinazokufanya Uendelee Kuwa Masikini.

By | July 29, 2014

Kila mmoja wetu anapenda kuwa na fedha zitakazomtosheleza mahitaji yake na kuweza kumuondoa kwenye umasikini. Pamoja na kupenda fedha na kuuchukia umasikini bado matendo yako hayaonyehi hivyo. Matendo yako yanakwenda kinyume kabisa na mapenzi au mawazo yako. Matendo yako yanaonesha kwamba hupendi fedha na hutaki kuondoka kwenye umasikini. Ni vipi (more…)

Uongozi Ni Watu, Na Sio Vinginevyo.

By | July 27, 2014

Kama nikikuuliza swali ni nani muhimu kati ya kiongozi na mwananchi anayeongozwa? Kwa hali ya kawaida na mazoea tuliyonayo sisi, unaweza kufikiri kiongozi ni bora zaidi ya mwananchi. Lakini huu sio ukweli hata kidogo. Sio ukweli kwa sababu bila ya mwananchi anayeongozwa hakuna kiongozi, kiongozi ni mwakilishi wa wale waliompa (more…)

Uongozi Ni Watu, Na Sio Vinginevyo.

By | July 27, 2014

Kama nikikuuliza swali ni nani muhimu kati ya kiongozi na mwananchi anayeongozwa? Kwa hali ya kawaida na mazoea tuliyonayo sisi, unaweza kufikiri kiongozi ni bora zaidi ya mwananchi. Lakini huu sio ukweli hata kidogo. Sio ukweli kwa sababu bila ya mwananchi anayeongozwa hakuna kiongozi, kiongozi ni mwakilishi wa wale waliompa (more…)

FEDHA; Utaratibu Mzuri Wa Kujiwekea Akiba.

By | July 22, 2014

Hakuna kitu kizuri kwenye maisha yako kama pale ambapo unaweza kudhibiti mzunguko wako wa fedha. Yaani kama unaweza kujua kiasi gani unapata na kinatoka wapi na ni kiasi gani unatumia na unakitumia wapi unakuwa na uhuru, furaha na maisha yako yanakuwa ya uhakika. Hii ndio sababu kubwa iliyofanya tuanze na (more…)

Kisima Cha Maarifa Kuwa Bora Zaidi, Soma Hapa Usipitwe.

By | July 17, 2014

KISIMA CHA MAARIFA ni blogu pacha ya AMKA MTANZANIA ambayo inakupatia mafunzo mbalimbali ya kuboresha maisha yako. Kupitia KISIMA CHA MAARIFA unajifunza mambo mengi sana ambayo yanakuwezesha kufikia mafanikio makubwa kwenye jambo lolote unalofanya. Kwa sasa ndani ya KISIMA CHA MAARIFA kumekuwa kukipatikiana makala mbili kwa wiki, moja ikiwa ya (more…)

FEDHA; Anza Kujenga Tabia Ya Kujiwekea Akiba.

By | July 15, 2014

Kama umefanya zoezi la wiki iliyopita mpaka sasa utakuwa unajua ni wapi fedha zako zinatoka na muhimu zaidi ni wapi fedha zako zinakwenda. Kama ulikuwa mwaminifu kwenye kuandika vizuri mapato na matumizi yako utakuwa umeanza kupata picha ni kiasi gani cha fedha unapoteza kila siku. Kama hukupata nafasi ya kufanya (more…)

Acha Kutafuta Pesa Ambazo Hutazipata, Tafuta Hiki Kimoja Na Usahau Matatizo Yako Ya Pesa.

By | July 5, 2014

MAKALA HII NI NDEFU KIDOGO ILA NAKUSIHI SANA UISOME UTAJIFUNZA VINGI VITAKAVYOKUKOMBOA Pesa ni tatizo, Pesa ni ngumu, Pesa hazionekani na kadhalika haya ndio maneno yaliyojaa kwenye akili za watu wengi. Huenda na wewe umeshayasema maneno haya mara kadhaa au umekuwa wimbo mzuri kwako. Sasa leo nakwambia unafanya makosa makubwa (more…)