#SheriaYaLeo (190/366); Wasioshawishika.
#SheriaYaLeo (190/366); Wasioshawishika. Katika harakati zako za kutaka kuwashawishi wengine ili wakupe kile unachotaka, utakutana na watu ambao hawawezi kushawishika. Hawa ni watu wasiojiamini kupitiliza. Kila mmoja wetu huwa anakuwa na hali ya kutokujiamini. Lakini katika mchakato wa ushawishi, huwa hali hiyo inavukwa kirahisi. Kwa wasioshawishika, kutokujiamini kwao kunakuwa kumepitiliza. (more…)
