#SheriaYaLeo (184/366); Usiwaridhishe watu haraka.
#SheriaYaLeo (184/366); Usiwaridhishe watu haraka. Uwezo wa kuchelewa kuwaridhisha watu una nguvu kubwa kwenye ushawishi. Unawajengea watu hali ya matumaini lakini pia hali ya kukuhitaji zaidi. Ile hali ya kuonekana hutaki sana kitu au hujali sana inakupa wewe nguvu kubwa. Kwani wengine wanasukumwa kukushawishi na kukubembeleza ili uweze kuwapa kile (more…)
