2558; Miaka 7 ya kuandika kila siku.
2558; Miaka 7 ya kuandika kila siku. Kama umekuwa huelewi, namba zinazotangulia kwenye hizi nakala za kurasa, ni idadi ya siku nilizoandika kwa mfululizo bila kuacha hata siku moja. Huwa sijikumbushi hili mara kwa mara kama vile ndiyo mafanikio yenyewe, ila huwa naangalia kama namba zinaenda sawa. Maana ni rahisi (more…)
