Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 802; Kama Ndiyo Ungekuwa Unaanza Leo…

By | March 12, 2017

Business as usual ni usemi ambao umekuwa unatumika na wazungu kuashiria kwamba mambo yanafanyika kama kawa. Yaani leo watu wanafanya kwa sababu ndivyo walivyofanya jana, na juzi pia. Kwa kifupi ndivyo walivyozoea kufanya, ndivyo ilivyozoeleka kufanya. Hali hii imekuwa inapelekea kazi nyingi kudumaa, biashara nyingi kufa na hata watu kuyachoka (more…)

UKURASA WA 801; Siku 800 Za Kuandika….

By | March 11, 2017

Katika makala hizi za kurasa, ambazo ni makala ninazoandika kila siku, yaani namaanisha kila siku, bila ya kuruhusu sababu yoyote iingilie kwenye uandishi wangu, nimeshavuka kurasa 800 za kuandika. Kama ningesema lengo langu ni kuandika kurasa 800 au hata 1000, huenda lingeniumiza sana, kwamba sasa hizi kurasa zitaishaje, nizigaweje, niandike (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; SABABU YA WATU KUKUKATISHA TAMAA….

By | March 11, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi nyingine bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ni msingi muhimu sana kwetu kwa mafanikio. Asubuhi ya leo tutafakari sababu ya watu kukukatisha tamaa. Iko hivi rafiki, (more…)

UKURASA WA 800; Dawa Moja Inayotibu Matatizo Yako Yote….

By | March 10, 2017

Kama ipo dawa moja ambayo inaweza kutibu matatizo yako yote, Inaweza kutibu matatizo yako ya kiafya na kuhakikisha unakuwa na afya bora sana, maradhi hakuna. Inatibu matatizo yako ya kifedha na kukuondoa kwenye madeni na uhaba wa kipato. Inaweza kutibu matatizo yako ya kikazi, kuondoa msongo wa mawazo unaotokana na (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NJIA PEKEE YA KUPITA WEWE….

By | March 10, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Msingi wetu mkuu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao utatuwezesha kuzifikia ndoto zetu. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NJIA PEKEE KWAKO… (more…)

UKURASA WA 799; Kwa Nini Usipambane Au Kukimbia Hofu Zako…

By | March 9, 2017

Hakuna kitu kinachokuwa na sisi muda mwingi kama hofu. Kwenye kila jambo tunalofanya, hasa linapokuwa jambo kubwa, hofu ipo na sisi. Na tatizo la hofu ni kwamba imewazuia wengi kuchukua hatua. Hofu imekuwa kaburi la ndoto za wengi, wamekuwa na ndoto kubwa lakini hofu inawazuia kuanza. Na hapo wanatangaza kushindwa. (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; HOFU YA KUSHINDWA AU HAMASA YA KUSHINDA….

By | March 9, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Tutumie nafasi hii ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana siku hii ya (more…)

UKURASA WA 798; Njia Mbili Za Kuongeza Faida Na Moja Ya Kuepuka Sana….

By | March 8, 2017

Zipo sababu nyingi zinazopelekea watu kuanza biashara au kujiajiri, lakini biashara zote ili ziweze kuendelea, lazima zitengeneze faida. Bila ya faida biashara hata iwe nzuri na ya msaada kiasi gani kwa wateja wake, itakufa. Hivyo kama mfanyabiashara lazima uweke jicho lako kwenye faida, ujue unaelekea wapi kwa rasilimali unazoweka kwenye (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; BLONDS POST….

By | March 8, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora. Tukumbuke kwamba maisha yetu ni jukumu letu, hivyo lazima tuchukue hatua. NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ni msingi muhimu kwetu kuwa na mafanikio makubwa. Asubuhi ya leo (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; NI MAISHA YAKO…

By | March 7, 2017

Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora sana. Hakikisha siku hii ya leo unaitumia vizuri rafiki, unachoweza kufanya leo kisingoje kesho. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA tunaweza kufanya makubwa zaidi (more…)