UKURASA WA 482; Jibu La Swali…
Kabla ya kujiuliza kama jibu ulilopewa kwa swali ulilouliza ni sahihi au la, anza kujiuliza kama swali lenyewe lilikuwa sahihi. Kwa sababu jibu unalopata linategemea na swali ulilouliza. Kama swali lipo sahihi basi utapata jibu sahihi, lakini kama swali siyo sahihi, unategemea kupata jibu gani? Leo tunajadili hili kwa sababu (more…)
