Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 171; Unapokata Tamaa Maana Yake Umekubali Hivi.

By | June 20, 2015

Kukata tamaa maana yake umeamua kuondoka kwenye safari inayokupeleka kwenye mafanikio. Kukata tamaa maana yake umeamua kwamba nguvu zote ulizoweka, mambo yote uliyojitoa mpaka sasa hayana maana na umeamua kuyapoteza. Kukata tamaa maana yake ni kusema ulikuwa hujui kile ulichopanga kufanya na hata sasa hujui ni kitu gani unataka kufanya (more…)

Kama unafuatilia blog hii kwa email, ukipata email hii nijibu.

By | June 19, 2015

Kama unafuatilia blog hii kwa email, ukipata email hii nijibu. Habari za leo mpenzi msomaji na rafiki yangu? Kwa siku za hivi karibuni nimepokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wasomaji kwamba hawapati email za makala zinazowekwa kwenye blog hii Makirita Amani. Mwanzoni nilifikiri ni tatizo la watu wachache ila kadiri (more…)

Kama unafuatilia blog hii kwa email, ukipata email hii nijibu.

By | June 19, 2015

Habari za leo mpenzi msomaji na rafiki yangu? Kwa siku za hivi karibuni nimepokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wasomaji kwamba hawapati email za makala zinazowekwa kwenye blog hii Makirita Amani. Mwanzoni nilifikiri ni tatizo la watu wachache ila kadiri siku zinakwenda nimekuwa napokea taarifa kutoka kwa wengi zaidi. Nimejaribu (more…)

UKURASA WA 170; Kinachoendelea Kukuzuia Kufikia Mafanikio Ni Hiki.

By | June 19, 2015

Kuna watu ambao wanakuwa wameanzia chini sana kwenye maisha. Wanatokea kwenye familia masikini, wanaweka juhudi nyingi sana na hatimaye wanafikia mafanikio waliyokuwa wanayatazamia. Ila baada ya kufikia mafanikio haya wanashindwa kwenda tena mbele na wanabaki palepale. Kwa kubaki palepale kwa muda mrefu wanajikuta wameachwa nyuma. Kuwa wengine wanaingia kwenye kazi (more…)

BIASHARA LEO; Je Unatangaza Biashara Au Unapiga Kelele Kwenye Mitandao Ya Kijamii?

By | June 18, 2015

Mitandao ya kijamii ni sehemu nzuri sana ya kutangaza biashara yako. Hii ni sehemu ambayo wateja wako wanakuwepo kwa muda mrefu na wanafuatilia mambo mbalimbali. Lakini changamoto moja inakuja kamba wengi wa watu wanaotangaza kwenye mitandao hii, kiuhalisia hawatangazi, bali wanapiga kelele. Na kwa jamii ya sasa, watu hawataki kelele, (more…)

UKURASA WA 169; Utaendelea Kuidhulumu Dunia Mpaka Lini?

By | June 18, 2015

Kila mmoja wetu ana kitu kikubwa sana ambacho kipo ndani yake, ambacho akikitoa anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana kwa watu wengine. Lakini tatizo kubwa ni kwamba wengi wetu hatutoi vitu hivi. Na tumekuwa tunaidhulumu dunia kwa kiasi kikubwa sana. Kazi ambayo nimekuwa naifanya, ya uandishi na kufundisha, imekuwa inawasaidia watu (more…)