1952; Acha Yatokee…
Tunajua hili kuhusu furaha, kwamba kadiri unavyoikimbiza, ndivyo unavyoikosa. Lakini ukiishi maisha yako na kuiacha furaha itokee, inakuwa na wewe kila wakati. Furaha ni kama kipepeo, ukikikimbiza kinakimbia, ukitulia eneo sahihi kinakufuata. Mafanikio pia ndivyo yalivyo, ukiyakimbiza huyakamati, kila wakati utajiona hufikii mafanikio unayoyataka. Lakini ukiacha kuyakimbiza, yanajitokeza yenyewe. Mafanikio (more…)
