1419; Njia Sahihi Ya Kupima Wazo Lako La Biashara Kama Linakufaa…
Siku za nyuma watu walikuwa wanachukulia wazo la biashara kama kitu muhimu sana kwenye mafanikio ya biashara. Watu walifanya mawazo yao ya biashara kuwa siri kali sana ambayo haikupaswa kujulikana na yeyote. Lakini kwenye zama hizi za taarifa, wazo la biashara limekosa kabisa thamani. Mawazo ya biashara ni mengi sana (more…)
