1378; Maisha Unayoishi Sasa Ni Unabii Uliotimia…
Wapo watu ambao wamekuwa wanahangaika kutafuta watu wa kuwatabiria au kuwanenea unabii kuhusu maisha yao. Lakini watu hao hawapaswi kwenda mbali ili kumpata nabii anayeweza kuwatabiria kwa usahihi wa asilimia 100. Maisha ambayo unayaishi sasa, ni unabii ambao umetimia. Maisha uliyonayo sasa, hayajatokea kama ajali, badala yake yametengenezwa, kidogo kidogo, (more…)
