UKURASA WA 984; Usinunue Hofu Za Wengine…
Watu wenye hofu wana tabia moja, hawapendi kuwa peke yao. Mtu anapokuwa na hofu, akiwa nayo peke yako inamtisha na kujiona labda ana matatizo makubwa. Ili kuepuka hilo, huwa wanatafuta watu wengine ambao nao watakuwa na hofu kama ambayo wao wanayo. Na hapo ndipo wanapoanza kusambaza hofu hiyo kwa wengine. (more…)
