#TAFAKARI YA LEO; NJIA YA UHAKIKA YA UMASIKINI…

By | September 2, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri na ya kipekee sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa, ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu NJIA (more…)

BIASHARA LEO; Katika Mipango Yako Ya Biashara, Mteja Ni Sehemu Muhimu…

By | September 2, 2017

Mara nyingi watu wanapoweka mipango yao ya kibiashara, hujiangalia wao zaidi. Hili huanzia kwenye kufikiria biashara ya kufanya, wengi hufikiria kile ambacho wanapenda wao, na kwenda nacho kwa njia ambayo wanaitaka wao. Pia katika mabadiliko ya kibiashara, wengi hujiangalia wao. Kwa mfano katika maamuzi ya kubadili bei au kubadili huduma (more…)

UKURASA WA 976; Huwezi Kumdanganya Mtu Yeyote Hapa Duniani Ila Wewe…

By | September 2, 2017

Kuna watu ambao ni waongo, kuanzia kwenye maneno, matendo na hata aina ya maisha wanayoishi. Watu hawa huwa wanapenda kuonekana tofauti na walivyo, ili kupata chochote wanachotaka kukipata. Japokuwa uongo unaweza kuwasaidia kwa wakati mfupi, baadaye huwa na madhara makubwa zaidi kuliko faida walizopata. Na hasara kubwa zaidi ya uongo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAANDALIZI YA KUISHI…

By | September 1, 2017

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tunakwenda kufanya makubwa leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu (more…)

BIASHARA LEO; Aina Mbili Za Uchumi Wa Biashara Na Ipi Ya Kuwekea Mkazo…

By | September 1, 2017

Zipo aina mbili za uchumi wa biashara, aina moja ni rahisi kufanya lakini matokeo yake siyo mazuri. Aina nyingine ni ngumu kufanya lakini matokeo yake ni mazuri, hasa ukiweza vizuri. Aina ya kwanza ni kuwafikia wateja wengi uwezavyo, kukazana kila mtu awe mteja wako. Hapa inakubidi uwe na kitu ambacho (more…)

UKURASA WA 975; Unamwangalia Nani?

By | September 1, 2017

Kwenye maisha yetu, kuna watu ambao tunawaangalia, watu ambao wanatupa hamasa ya kupiga hatua zaidi kwenye lolote ambalo tunafanya. Hawa ni watu ambao kwa viwango vyao na mambo waliyofanya, wanatuhamasisha na sisi kuweka juhudi zaidi ili kuweza kufanya makubwa. Hawa ni watu ambao wanatupa uhakika ya kwamba inawezekana na tunapokutana (more…)

BIASHARA LEO; Tofauti Ya Kuuza Na Kuchuuza…

By | August 31, 2017

Kama kuna kitu kimoja ambacho kila mtu anapaswa kujifunza hapa duniani, basi ni jinsi ya kuuza. Hii ni muhimu sana kwa sababu, maisha yetu yote, kuna vitu tunauza, hata kama hatupo kwenye biashara. Kwenye kazi, unauza muda na utaalamu au uzoefu wako. Kwenye uongozi unauza maneno na sera. Kwenye mahusiano (more…)

UKURASA WA 974; Vitu Vidogo Vinapokosekana, Vinaharibu Sifa Na Ladha Nzima…

By | August 31, 2017

Kupika chakula chochote ni zoezi gumu, linalohitaji akili, nguvu na subira kuhakikisha unapata chakula kizuri kwa ajili ya kula. Zoezi la kuweka chumvi kwenye chakula ni rahisi, halihitaji nguvu na maarifa mengi kama ilivyo kwenye kupika. Lakini kazana kupika chakula chako vizuri mno na sahau kuweka chumvi, chakula kinakosa ladha. (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MUDA MZURI NI KABLA…

By | August 30, 2017

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi ya kipekee ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa mafanikio ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA, ambapo tunakwenda kufanya makubwa na kupata matokeo bora sana (more…)