UKURASA WA 487; Unarekodiwa…
Kwenye dunia tunayoishi sasa, kila unachofanya, kusema au kuandika, kuna watu wanakurekodi. Unahitaji kulijua hili na kuwa makini sana kwa sababu ulichosema au kuandika kinaweza kutumika kama ushahidi dhidi yako. Hakuna wakati ambao inalipa kuwa mwadilifu kama zama hizi, maana kila kitu kipo wazi kabisa. Unaweza kufanya kitu ukijua ni (more…)
