1459; Uhuru, Ujasiri Na Ubora…
Yupo huru mtu yule awezaye kusema chochote anachotaka kusema, bila ya kujali wengine wanasemaje au kuchukuliaje. Uhuru ni ngazi ya kwanza kabisa katika kujitambua kama mtu na kuweza kupiga hatua kubwa, Jasiri ni yule ambaye anaweza kufanya chochote anachotaka kufanya na anachoamini ni muhimu kufanya, bila ya kujali wengine wanaamini (more…)
