UKURASA WA 797; Vunja Sheria Hizi Za Hovyo….
Unapotaka kufanikiwa, kuna jambo moja huwezi kulikwepa, nalo ni kufanya yale ambayo wengine hawapo tayari kufanya. Unahitaji kuwa tayari kujitoa zaidi, kuwa tayari kuweka kazi zaidi na kuwa tayari kuvumilia zaidi ya ambavyo wengine wapo tayari kufanya. Dunia haitakuachia kirahisi ufanye hayo unayotaka kufanya, bali wataibuka watu na visheria vyao (more…)
