Maisha Unayotaka Tayari Unayo, Ni Wewe Tu Kuanza Kuyaishi.
(more…)
(more…)
Binadamu ni viumbe wa kijamii, tunasukumwa sana kwenda kama jamii inavyokwenda. Hali hii tumeirithi kutoka kwa mababu wa mababu zetu ambao nao walikuwa mababu wa mababu zetu. Zamani ililazimika kila mtu kufanya kile ambacho kimekubalika kufanywa na jamii nzima. Hii ni kwa sababu mazingira yalikuwa hatarishi sana. Kwa mfano kama (more…)
Mara nyingi huwa tunafanya mambo kwa mazoea. Na kutokana na mazoea hayo tunasahau kwamba matokeo ya kile tunachofanya yanaweza kuwa mabaya sana kwenye biashara zetu. Kuna njia uliyozoea kufanya biashara yako ambapo kwa njia hiyo unafukuza wateja wengi zaidi ya wale ambao unawakaribisha. Na hii imekuwa inaumiza biashara yako kidogo (more…)
Watu wengi sana huwa wanaweka malengo ya kubadili maisha yao lakini wanashindwa kufikia malengo hayo. Na ili mtu uweze kubadili maisha yako unahitaji kuanza na kubadili tabia zako kwanza. Kubadili tabia kumekuwa ni kugumu sana na ndio maana watu wengi hujikuta pale pale walipokuwa miaka mingi iliyopita. Sikiliza hivyo ulivyo (more…)
Huwa napata nafasi ya kukutana na kuwasiliana na wajasiriamali na wafanyabiashara mbalimbali. Na kikubwa nilichojifunza ni kwamba kwanza, watu wanakutafuta pale ambapo biashara imeshafikia hali ngumu sana kiasi kwamba inahitaji nguvu kubwa sana kuirudisha kwenye mstari. Na pili, watu wengi hawajui sababu hasa ya kushindwa kw abiashara zao, wanakuwa wana (more…)
(more…)
(more…)
Kuna njia mbili za kuitazama dunia, ambazo unaweza kuchagua moja kati ya hizo mbili. Njia ya kwanza ni kuitazama dunia kama ina wingi wa kila kitu. Kuiona dunia ina wingi wa fursa za kukupatia wewe kipato na mafanikio. Kuiona dunia kama ina wingi wa watu wema na unaoweza kushirikiana nao (more…)
(more…)
Katika kila mazingira ambayo mtu yupo kuna fursa nyingi sana za biashara. Huhitaji kuwa na shahada ili kujua hili, ila bado limekuwa ndio swali ambalo linaulizwa sana. NIFANYE BIASHARA GANI? AMBAYO ITANILIPA? Sichoki kujibu swali hili kwa sababu kazi yangu mimi ni kukupa wewe maarifa yatakayokusaidia kukuza biashara yako na (more…)