UKURASA WA 129; Ugumu Wa Mwanzo Mgumu…
Wahenga walisema mwanzo mgumu, ni kweli sio, kwamba unapotaka kuanza jambo lolote, mwanzo huwa mgumu sana. Hali hii husababisha watu wengi kushindwa kufanya mambo makubwa kwenye maisha yao. Umeshindwa kuanza biashara ambayo umekuwa unaifikiria kwa muda mrefu. Umeshindwa kuanza kuchukua hatua ya kuboresha maisha yako yapo unajua kila hatua unayotakiwa (more…)
