2676; Dawa ya njia za mkato.
2676; Dawa ya njia za mkato. Hebu fikiria wimbo mzuri sana ambao unapenda kuusikiliza, Je utakuwa tayari kuuharakisha ili ufike mwisho? Jibu ni hapana, uzuri wa wimbo siyo kuumaliza, bali kuusikiliza. Kadhalika kwenye vitu vingine kama muvi, michezo na hata vitabu. Kama kitu unakipenda, hutaki kiishe haraka. Hata kwenye chakula (more…)
